×

These are samples uploaded by the translator.

For best results, ask your translator to translate a short sample of your work to get an impression of his style.

Translation Samples

Source Text

All of our tasks are published and completed through the mobile app.

Once you have the app, you can accept your first task and start earning!

You can see the tasks available in your app, and the payment being offered for each.

Complete the tasks in your free time, or whenever you find it convenient.

Target Text

Kazi zetu zote zinachapishwa na kukamilishwa kupitia kwa programu tumizi ya sogevu.

Pindi utakapokuwa na programu tumizi, unaweza kukubali kazi yako ya kwanza na kuanza kupata mapato!

Unaweza kuona kazi zinazopatikana katika programu tumizi yetu, na malipo yanayotolewa kwa kila kazi.

Kamilisha kazi kwa muda wako wa ziada, au kila unapoona ni wakati mwafaka.